N nuporo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2018 Posts 1,534 Reaction score 3,387 Jun 15, 2024 #1 Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje? Elimu yao au taaluma zao? Ajira wanaombea wapi? Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje? Elimu yao au taaluma zao? Ajira wanaombea wapi? Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,139 Reaction score 2,223 Jun 15, 2024 #2 nuporo said: Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje? Elimu yao au taaluma zao? Ajira wanaombea wapi? Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi Click to expand... Unachomolewa ajira portal ofisi zingine wanatolewa kwenye idara Nyeti kuendana na taaluma yako
nuporo said: Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje? Elimu yao au taaluma zao? Ajira wanaombea wapi? Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi Click to expand... Unachomolewa ajira portal ofisi zingine wanatolewa kwenye idara Nyeti kuendana na taaluma yako
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Jun 15, 2024 #3 toriyama said: Unachomolewa ajira portal ofisi zingine wanatolewa kwenye idara Nyeti kuendana na taaluma yako Click to expand... Lazima uwe ( kitengo) shushushu?.
toriyama said: Unachomolewa ajira portal ofisi zingine wanatolewa kwenye idara Nyeti kuendana na taaluma yako Click to expand... Lazima uwe ( kitengo) shushushu?.
toriyama JF-Expert Member Joined Feb 18, 2014 Posts 1,139 Reaction score 2,223 Jun 15, 2024 #4 muhomakilo jr said: Lazima uwe ( kitengo) shushushu?. Click to expand... Hapana sio wote