Jamani naomba msaada maana mara kwa Mara nasikia uteuzi wa wakuu wa mkoa na wilaya. Kibaya zaidi nipale ninapo sikia mkuu wamkoa Fulani amestaafu nafasi yake amechukua kanali mstaafu inamaana hakuna watu wengine na kwanini sijawahi kusiakia RPC mstaafu kawa mkuu wa mkoa.
Natafuta kazi kilakukicha ila mstaafu anapata kazi nalia kwa uchungu jaman jaman baba rais mtoto mbunge. Mume waziri mama mkuu wamkoa. Mbunge kafariki mtoto wake NEC imempitisha kutetea jimbo hiinidharau. Nataka kuamini msemo wa mzee Makamba ukiwa mtoto wa mlinzi na we we utakuwa mlinzi.
Daaaa kumbe wanapeana kwa sio wewe au baba yangu.