Ni vipindi gani vizuri vya Radio na TV vya kusikiliza na kuangalia?

Ni vipindi gani vizuri vya Radio na TV vya kusikiliza na kuangalia?

Kipindi nilikuwa nakipenda ni Chombeza Radio one nashangaa kwa sasa kimefutwa wanamuweka Rajabu Zomboko.

Ilikuwa never miss tena wakiwepo Rose Chitara au Aboubakar Sadiq au Amina Chengo.

Kwasasa vipindi vyangu ni:-

1. RFA - Magazeti asubuhi
2. RFA - Je huu ni Uungwana(Wambura Mtani) Jpili na Sintosahau -Yusuph Magasha
3. Efm - Joto la asubuhi 0700-0800 Kitenge,Hando,Kipanya na Irene.
4. Radio One -Mizengwe,Mambo Mseto,Hoja ya Leo
5. Clouds -Njia Panda(isaack maro)
6. VIpindi Vya Dr Ndodi.
 
PLANET BONGO/THE CRUISE....
EAST AFRICA REDIO

KAMA LUGHA INAPANDA SIKILIZA ALJAZEERA WORLDWIDE NA ATLANTA N.G.
(TUNEIN)
 
Back
Top Bottom