Kipindi nilikuwa nakipenda ni Chombeza Radio one nashangaa kwa sasa kimefutwa wanamuweka Rajabu Zomboko.
Ilikuwa never miss tena wakiwepo Rose Chitara au Aboubakar Sadiq au Amina Chengo.
Kwasasa vipindi vyangu ni:-
1. RFA - Magazeti asubuhi
2. RFA - Je huu ni Uungwana(Wambura Mtani) Jpili na Sintosahau -Yusuph Magasha
3. Efm - Joto la asubuhi 0700-0800 Kitenge,Hando,Kipanya na Irene.
4. Radio One -Mizengwe,Mambo Mseto,Hoja ya Leo
5. Clouds -Njia Panda(isaack maro)
6. VIpindi Vya Dr Ndodi.