Ni vitabu vip vizuri kwa combination ya ECA (Economics, Commerce and Accounting)?

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Habari za Leo wakuu,

Ni vitabu vipi vizuri wa combination ya ECA (Economics, Commerce and Accounting).

Au kama una vitabu vya hii combination nijuze hapahapa.
 
Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Tanzania ilitoa vitabu vizuri sana vya high school. Na wanaviuza kwa bei nafuu sana. Watembelee pale Kijitonyama karibu na TTCL/TBC ujipatie nakala zako.
 
mimi nahitaji vya wahindi mkuu, CHAND
 
Back
Top Bottom