T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 1,993 Reaction score 2,635 May 25, 2024 #1 Wakuu karibuni tupeane mrejesho wa vitisho ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao maarufu kama wanyonya damu. Maana kila kukicha malalamiko yamekuwa mengi.Karibuni tujadili.
Wakuu karibuni tupeane mrejesho wa vitisho ambavyo uliwahi kupewa na hawa wakopeshaji wa kwenye mitandao maarufu kama wanyonya damu. Maana kila kukicha malalamiko yamekuwa mengi.Karibuni tujadili.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 May 25, 2024 #2 Walitishia kuninyonya damu
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 May 25, 2024 #3 to recprd my banana mkuyenge and post it to my whtsapp status