CAGvsSPEAKER
JF-Expert Member
- May 16, 2019
- 1,339
- 5,044
Ngoja tumuache. Haya,na wewe mpe jibu....vile ni vitu gani.me siyo wa kishua ila mikono yangu inafanana kidogo na hyo pamoja na kufanya kazi ngumu, sa vp kwa jamaa ikiwa kazi yake ngumu n kifinyanga tonge la ugali unazan atakuwa na mikono ya namna gan
Ok sawa Mkuu. Sasa vile ni vinini?Mkuu mi natumia peni na Computer ili nile[emoji3][emoji3][emoji3]
1. Kuna aina Fulani ya urembo hutengenezwa kwa kutumia karatasiNgoja tumuache. Haya,na wewe mpe jibu....vile ni vitu gani.
Umepata ujumbe wako hapo kwa Mdau Mkuu?Mkuu mi natumia peni na Computer ili nile[emoji3][emoji3][emoji3]
Wapi Rizla?Jamani Gari huwa naicha sehemu wakati wa asubuhi jioni huwa naipitia ikiwa imeoshwa sasa Jana baada ya kufika nyumbani nimekuta kuna hivi vitu kwenye gari kinaweza kuwa nini??
View attachment 1735797