Ni vitu gani husababisha nywele kuwa nyeupe(Mvi)

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
54,894
Reaction score
64,043
Salam waungwana wa jukwaa hili. Kuna wakati unaweza kumuona mtu ana mvi ingawaje kiumri bado. Nadhani zaweza kutokea labda kutokana na maumbile ingawaje sina uhakika,pia kama kuna dr au mtaalam yoyote anaejua anaweza tuelimisha. Kuna wengine hata wakizeeka hawana,wengine wakiwa shule za msingi,sekondari wanazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…