Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
- Thread starter
-
- #21
Asijione yeye ni alfa na omega kwenye nchi! Ajishushe na kuelewa haja za wananchi wake bila upendeleo kwa matajiri na kuwasahau masikini ambao sauti zao ni ndogo na.hazizingatiwi! Samia kama unasoma hapa onesha upendo kwa wananchi wenye kuhitaji faraja kutoka kwako. Aache kuwa sikiliza chawa kama kina tlatlaah na lucas mshamba!🙄
Sikupingi kiongoziKwel tatizo ni kama anaongea alafu hatekelezi na kama hasikilizi kero
Watu wanachukia
Sheria za kutekeleza majukumu yao zikoje kama zina dosari zirekebishweViongozi wengi wanakuwa wanachukiwa. Ni namna gani abadilike ili watu wamkubali na aheshimiwe?
Kweli maana wao wanjali kushibisha matumbo yao hata kwa hila!Machawa wanaunafki mwingi Aisee
Sifa nyingi zinauaKweli maana wao wanjali kushibisha matumbo yao hata kwa hila!