Ni vitu gani napaswa kununua napotaka ku-overhaul gari?

Ni vitu gani napaswa kununua napotaka ku-overhaul gari?

kido madini

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
223
Reaction score
144
Wakuu natanguliza heshima kwenu

Naomba kujuzwa ni vitu gani napaswa kununua pindi nitakapo kui overhaul gari aina ya TOYOTA NOAH OLD MODEL SR40
 
Utaenda kwenye maduka ya vifaa vya magari na kuulizia Overhaul kit na utataja aina ya injini ya gari yako. Ni package hivi ina vitu vingi. Vingine fundi atashauri.
 
Bearing,ring,pia wataangalia sleeve km zimetanuka ili ujue unaongeza na vikombe vingine vya piston.oil mpya pia itahitajika oil filter.timing belt pia km imechoka uibadili.hakikisha ktk overhaul wanashafisha valve na tapet.pia camshaft itaangaliwa km inafaa tena matumiz
 
Kwa maisha ya sasa kuoverhaul engine ni kama kuloweka hela kwenye maji.

Nenda kanunue used engine.

Fanya overhaul kama dukani hamna used.
 
Back
Top Bottom