kido madini
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 223
- 144
Kubadilisha vitu vya ndani vya engine na kuweka vipya kama piston n.kMaana ya ku-overhaul ni nini nijuzeni
anhaa kumbe...sawasawa mkuuKubadilisha vitu vya ndani vya engine na kuweka vipya kama piston n.k
FactAuwez nunua kabla ya kuifungua engine yenyewe ukajua uchakavu ukoje mkuu.