Ni vitu gani napaswa kuvifanya nikiwa kama "member mpya wa jf"

Ni vitu gani napaswa kuvifanya nikiwa kama "member mpya wa jf"

wa hapa hapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
285
Reaction score
150
poleni kwa majukumu waungwana,ningependa kufahamu ni vitu gani ninapaswa kuvifanya nikiwa kama member mpya? ahsanteni
 
poleni kwa majukumu waungwana,ningependa kufahamu ni vitu gani ninapaswa kuvifanya nikiwa kama member mpya? ahsanteni

Karibu mgeniii..!!
majukwaa yapo mengi we ingia kwenye jukwaa litakalo kuvutia n kama ni chit chat, jokes etc,,,a uanze kubadilishana mawazo na watu tofauti tofauti. Muda c mref utazoeaa na utakuwa mwenyeji
 
ahsante sn kiongozi,tupo pa1 sn,c unajua sisi wa mikoani shida tupu,teh,teh,teh.
 
poleni kwa majukumu waungwana,ningependa kufahamu ni vitu gani ninapaswa kuvifanya nikiwa kama member mpya? ahsanteni

Karibu sana. Km uyo jamaa alivyotangulia kukuelekeza, ingia jukwaa lolote unalojiskia. Soma Topic itayokuwepo na uchangie km unaelewa. Usichoelewa kaa kimya uone wajuzi wa mambo watachangiaje na ww uongeze maarifa. Sio kila Thread lazima uchangie, hakuna sheria iyo. La muhimu ni kujua kipi unaweza kusaidia kuchangia ili kufikisha msaada kwa mwenye tatizo. Kumbuka JF ni sehem huru ya kuuliza, kujibiwa, kujibu, kutoa ushauri, mawazo, maoni na maelezo ya kitaalam.

Karibu mjini
Kazi ni kwako.
 
poleni kwa majukumu waungwana,ningependa kufahamu ni vitu gani ninapaswa kuvifanya nikiwa kama member mpya? ahsanteni

Kwa kila asubuhi unatakiwa kuwaankia wakubwa zako hapa jf mengine utajifunza taratibu
 
jifunza kw kuangalia.. fanya kile wengine wanafanya..

usianze kupost topic kwanza.. kuwa tu mchangiaji.. usije ukapost mada ya MMU kule kwenye siasa.
 
poleni kwa majukumu waungwana,ningependa kufahamu ni vitu gani ninapaswa kuvifanya nikiwa kama member mpya? ahsanteni

Hakikisha mchango wa mawazo katika post yoyote haifanani na yoyote ili kutoa mawazo mbadala tofauti na wengine
 
Back
Top Bottom