Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
317
Reaction score
170
Ni vitu gani nizingatie nikiwa nanunua router kwa ajili ya matumizi ya ofisi kwa wastani wa watumiaji 300?

Naomba msaada ni jinsi gani naweza kuziona hizo specification.
 
Angalia matumizi yako kwa hao watu 300, let say watatumia 5Mbps wakiwa fully active kwa pamoja, meaning wana bandwidth 5*300 = 1500Mbps. Kwa hiyo nunua router inayoweza kuhandle hiyo speed. Mind you Data plan yako pia isiwe below hiyo speed.
 
Router kwa watumiaji 300 ni ngumu kuwa na ufanisi.
Router ili iwe na ufanisi watu hawatakiwi kuzidi 250 na hata hizo zinazoweza kubeba watumiaji 250 sidhani kama zipo Tanzania.
Namna nzuri ya kuhudumia watu 300 ni kuongeza idadi ya routers au kutumia fiber optic cable ambayo inalipiwa kwa speed ya mtandao na sio idadi ya watu hivyo unaweza kuunganisha watumiaji hata 1000.
Wengine watakuja kuelezea zaid
 
Naona anataka kuanza kuuza WiFi mtaani...
 
Kulikuwa na haja gani kurudia hii thread kamanda? Nadhani ulipata majibu mazuri teyari.

Back
Top Bottom