Naona anataka kuanza kuuza WiFi mtaani...Router kwa watumiaji 300 ni ngumu kuwa na ufanisi.
Router ili iwe na ufanisi watu hawatakiwi kuzidi 250 na hata hizo zinazoweza kubeba watumiaji 250 sidhani kama zipo Tanzania.
Namna nzuri ya kuhudumia watu 300 ni kuongeza idadi ya routers au kutumia fiber optic cable ambayo inalipiwa kwa speed ya mtandao na sio idadi ya watu hivyo unaweza kuunganisha watumiaji hata 1000.
Wengine watakuja kuelezea zaid