Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,217
- 3,694
Hebu kila mmoja atoe mawazo yake kama familia yake itamuuliza ni kitu gani atakifurahia kama famillia yake itampa support ili kutimiza malengo yake
Mimi ningeomba mtaji wa biashara na hela ya kuanzia maisha
Mimi ningeomba mtaji wa biashara na hela ya kuanzia maisha