Bata batani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 3,217 Reaction score 3,694 Aug 2, 2021 #1 Hebu kila mmoja atoe mawazo yake kama familia yake itamuuliza ni kitu gani atakifurahia kama famillia yake itampa support ili kutimiza malengo yake Mimi ningeomba mtaji wa biashara na hela ya kuanzia maisha
Hebu kila mmoja atoe mawazo yake kama familia yake itamuuliza ni kitu gani atakifurahia kama famillia yake itampa support ili kutimiza malengo yake Mimi ningeomba mtaji wa biashara na hela ya kuanzia maisha
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Aug 2, 2021 #2 Maombi/Dua
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Aug 2, 2021 #3 Kunisaidia kuepuka chanjo ya mwendokasi 🙂
Albahi JF-Expert Member Joined Dec 30, 2020 Posts 481 Reaction score 585 Aug 2, 2021 #4 Bata batani said: Hebu kila mmoja atoe mawazo yake kama familia yake itamuuliza ni kitu gani atakifurahia kama famillia yake itampa support ili kutimiza malengo yake Mimi ningeomba mtaji wa biashara.na hela ya kuanzia maisha Click to expand... Siko mbali sana na wew hata me naona mtaji ndo muhimu ili utengeneze maisha yako pia.
Bata batani said: Hebu kila mmoja atoe mawazo yake kama familia yake itamuuliza ni kitu gani atakifurahia kama famillia yake itampa support ili kutimiza malengo yake Mimi ningeomba mtaji wa biashara.na hela ya kuanzia maisha Click to expand... Siko mbali sana na wew hata me naona mtaji ndo muhimu ili utengeneze maisha yako pia.