Ni vitu gani wanawake wanavipenda ambavyo vipo on fassion?

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana kijiji wenzangu wa jf nataka kuanza kufanya biashara juu ya vitu vya kike ndo maana naomba ushaur wenu hapa ni vitu gani wanawake wanavipenda kwa sasa na vpo kwenye fassion au hata kama havpo kwenye fassion ila vinanunuliwa saana na madada zetu

Nahitaji ushaur wenu asante saana
 
Inategemea uko mkoa gani, pendelea kutembele maduka ya nguo mf kinondoni, mwananyamala na hata sinza unapoingia jifanye mteja na uliza na utapata mwanga. Pia waweza angalia mtaani/eneo lako la biashara kinadada wanapenda kuvaa nini utagundua.
Kuna vitu kama mikoba,nguo,viatu n.k lakini zingatia ni aina gani ya wanawake unaotaka wawe wateja wako.
 
Wanawake wengi wamapenda nguo & handbags & Viatu
 
Mimi napenda dera, bag, chocolate, bacon, gari saloon, majembe kwa ajili ya kilimo kwanza, mbegu, vifaa vya ufugaji wa samaki na nyuki, nk. Ushauri, mahitaji ya mwanamke ni mengi mno huwezi kuyakidhi kwa mlango mmoja tiu wa biashasra, tanua wigo!!!
 
Tuko wengi tunaosubiri maoni ya wadau
 
Inategemea uko mkoa gani, pendelea kutembele maduka ya nguo mf kinondoni, mwananyamala na hata sinza unapoingia jifanye mteja na uliza na utapata mwanga. Pia waweza angalia mtaani/eneo lako la biashara kinadada wanapenda kuvaa nini utagundua.
Kuna vitu kama mikoba,nguo,viatu n.k lakini zingatia ni aina gani ya wanawake unaotaka wawe wateja wako.

Nimeupenda ushaur wako
 
Kwangu mie napenda sana viatu.Kuna wengine wanapenda sana hereni na wengine nguo.Ukitaka kuteka soko nenda na wakati kama ni mapambo,viatu au nguo jaribu kuchukua zilizo kwenye fashion
 
Back
Top Bottom