Habar wana kijiji wenzangu wa jf nataka kuanza kufanya biashara juu ya vitu vya kike ndo maana naomba ushaur wenu hapa ni vitu gani wanawake wanavipenda kwa sasa na vpo kwenye fassion au hata kama havpo kwenye fassion ila vinanunuliwa saana na madada zetu
Nahitaji ushaur wenu asante saana
Inategemea uko mkoa gani, pendelea kutembele maduka ya nguo mf kinondoni, mwananyamala na hata sinza unapoingia jifanye mteja na uliza na utapata mwanga. Pia waweza angalia mtaani/eneo lako la biashara kinadada wanapenda kuvaa nini utagundua.
Kuna vitu kama mikoba,nguo,viatu n.k lakini zingatia ni aina gani ya wanawake unaotaka wawe wateja wako.