Ni vizuri tuwafunze ukweli watoto wetu na si kuwafunza tulicho danganywa na kufunzwa sisi ili wajue kweli

Ni vizuri tuwafunze ukweli watoto wetu na si kuwafunza tulicho danganywa na kufunzwa sisi ili wajue kweli

Joined
Aug 1, 2022
Posts
41
Reaction score
86
Watoto Ni kawaida yao kumuamini mzazi wake kwa 95% kuzidi lolote/yeyote 5% kwa kuwa anafahamu mzazi Ni binadamu salama kwake kuzidi binadamu yeyote..

NI muhimu kutumia fursa hii ya kubahatika kujua ukweli kuhusu Elimu ya Kiroho na Usiri uliokithiri ktk Dini/vitabu vya dini(biblia/Quran) kuwaelimisha watoto wetu kutambua maana halisi za misemo, misamiati , lugha za kidini na sheria kuwa vyote Ni Asili/nature, usikubali mtoto wako akulie ktk uongo, Madrasa, Sunday Scholl's Ni eneo maalumu la kuwaprogramu watoto waingie ktk mfumo wa kaini/dunia ya uongo dunia ya tricknology huku Ile teknolojia yetu ikidharaulika.

Mfundishe mwanao ajue Nini maana halisi ya neno
YESU
MUHAMMADI
SHETANI
MUNGU
DHAMBI
MBINGU
KEMET/KAMIT/EGYPT YA LEO
YEYE NI NANI, BINADAMU NI NINI

katika eneo ambalo mzazi aliyehumu hutetea kuwa Bora mwanangu aendelee kwenda Madrasa sijui Sunday school nikuwa wanafundishwa wema kutotenda Ubaya hivyo ntamfunda akikua , hii Ni hoja DHAIFU Sana, SIKIA tambua sis
 
Back
Top Bottom