Ni volkswagen touran ama spacio??

Kama hujui kitu kinapatikana wapi usiseme hamna. Mimi nauza Spare za VW zote, tena Touran ndio ninazo nyingi sana. VW upatikanaji wa spare ni rahisi kuliko hata Nissan na Mazda.
ila kweli nissan na mazda ni shiiida, mazda ndio komesha aisee
 
"Siwezi kumshauri mtu anunue hiyo gari"
Mfikishie kaka yako hii meseji, ni muhimu
Zingatia; kila zama na kitabu chake JK Vs JPM
 
Labda cheap na available kwa sasa ila sio miaka miwili nyuma.nilikosa spare kwa dealer wa vw dar nikakosa Nairobi.
 
Labda cheap na available kwa sasa ila sio miaka miwili nyuma.nilikosa spare kwa dealer wa vw dar nikakosa Nairobi.
Touran zilizopo Tz za zamani sana huwezi kuoata kwa dealer. Miaka miwili nyuma juzi tu zilikuwepo sema hukuwa na taarifa sahihi.
 
Kama hujui kitu kinapatikana wapi usiseme hamna. Mimi nauza Spare za VW zote, tena Touran ndio ninazo nyingi sana. VW upatikanaji wa spare ni rahisi kuliko hata Nissan na Mazda.
Afadhali wewe umekuja kunipa tumaini mkuu... [emoji106]
 
Thanks...
 
Mi nauza spare za vw but ni Amarok, tourage,Caddy,Transpoter na Tiguan.!
Spare zipo na ukiagiza ni fasta tu unapata usigope kumiliki gari dunia hii sababj ya parts na mafundi walioenda traiing na wenye diognosis ya volkswagen wapo
 
Touran zilizopo Tz za zamani sana huwezi kuoata kwa dealer. Miaka miwili nyuma juzi tu zilikuwepo sema hukuwa na taarifa sahihi.
Basi anunue tu at his own risk, mi nimetoa experience yangu tu kutokana na umiliki wa hiyo gari. Niliweka uzi kuomba ushauri kabla ya kununua mkuu,kama kweli umefungua ofisi ya kuuza spare za hizi gari basi asante.
 
Lahaula nafsi yangu...VW tiguan barabarani inavyopelekesha mapigo ya moyo wangu mbio, sasa nikiitafuta si ndio nitalala Muhimbili kama mambo yenyewe ndio haya?
 
Lahaula nafsi yangu...VW tiguan barabarani inavyopelekesha mapigo ya moyo wangu mbio, sasa nikiitafuta si ndio nitalala Muhimbili kama mambo yenyewe ndio haya?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mahaba niue, ,.
 
Lahaula nafsi yangu...VW tiguan barabarani inavyopelekesha mapigo ya moyo wangu mbio, sasa nikiitafuta si ndio nitalala Muhimbili kama mambo yenyewe ndio haya?
Nita kusupply spare nina deal nazo hiz gari ni gari nzuri sana hutajuta
 
Heko mkuu... Sasa nimeanza kuwaona watu wenye passion... Salute..

Ndio toyota anapowapiku wazungu hapo, reliability check ipo juu sana. Gari za mjerumani kibongo bongo ujipange sawasawa.

Ninaamini na bei za spare parts zimechangamka kidogo, si ndio?
Yaa ila ni durable service parts ni bei za kawaida sana na ukinunua ya petrol ndio safi zaid unakuwa unabadili oil filter tu na air filter mara moja moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…