Ni volkswagen touran ama spacio??

well spoken mkuu, vw ni gari nzuri ila zina tatizo upande wa gearbox,pia mafundi wa hizi gari ni wachache sana ikikuharibikia mfano dodoma au musoma huwezi kufanya kitu chochote!spare zake gharama na zinapatkana nairobi au kampala
 
Umeshanunua hiyo gari au bado?
Mkuu hatukutaka headache kabisa... yaliyozungumzwa humu tuliyazingatia na kuyafanyia kazi... Mana ilibidi tujiulize kuwa na gari ni kitu kingine na stress ni kitu kingine... heri ya kuwa na usafiri kuliko kuwa na stress
 
Safi sana fata moyo wako, mmenunua yard za bongo au japan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…