Ni vp ntatengeneza maziwa mgando?

Ni vp ntatengeneza maziwa mgando?

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Jama msaada plz ni vip ntaandaa maziwa ya mgando!
 
tafuta maziwa ya ng'ombe,yaache yalale adi asubuh,yatakuwa mgando,mgando kwa jiran zetu wa kenya usema maziwa lala,ukisema mgando awakuelewi,hivo ni maziwa yaliyolala bila kuchemshwa
 
Mpenzi, hapo si ndio pakuibuka na tb shostito, au yakiganda yanakuwa salama?
tafuta maziwa ya ng'ombe,yaache yalale adi asubuh,yatakuwa mgando,mgando kwa jiran zetu wa kenya usema maziwa lala,ukisema mgando awakuelewi,hivo ni maziwa yaliyolala bila kuchemshwa
 
chemsha kwanza maziwa ili kuuua vijidudu ,yaache hadi yapoe .weka tone moja la maziwa mgando unayoamini ni salama au uweke yegort kidogo ,yaache hadi kesho yake yataganda vizuri.usigandishe maziwa bila kuyachemsha ni hatari kea afya nia rahisi kupata TB au gonjwa lingine
 
Ushauri mzuri. Ila zingatia ukichemsha yakishapoa uhamishe chombo, yasigandie kwenye sufuria yalimochemshiwa. Hakikisha unayachuja. Unaweza kuweka hata kikombe cha mtindi, na hasa ule mtindi wa vikopo wa asas.

Ama pia unaweza kukamulia limao kidogo na kuyafunika baada ya kuweka sehemu yenye joto.
chemsha kwanza maziwa ili kuuua vijidudu ,yaache hadi yapoe .weka tone moja la maziwa mgando unayoamini ni salama au uweke yegort kidogo ,yaache hadi kesho yake yataganda vizuri.usigandishe maziwa bila kuyachemsha ni hatari kea afya nia rahisi kupata TB au gonjwa lingine
 
kuyafanya mtindi kumbe maana nshaanza kufikiria kuganda vipi?..
 
Mtindi Mzuri huna haja kuchemsha Maziwa. Ni kuyaozesha Maziwa . Na wadudu wanao ozesha Maziwa, huua bacteria wote, pamoja na wa kifua kikuu. Waafrika wengi walikuwa hawanywi Maziwa mabichi happy kale, na hawakuwa wanapata kifua kikuu.

Macinkus
 
ukisha chemsa ili maziwa ili yasikatike yaweke kwenye kibuyu kesho yake ni salama kwa kunywa.kwenye kibuyu huhitaji kuweka maziwa kidogo au limao kwani kibuyu cha mazima kinabakigi na masalia ya maziwa
 
Back
Top Bottom