secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Habari ya kutwa mzima great thinkers!
Naomba tujuzane VPN ambazo ziko kazini Kwa sasa ili tuendelee kuperuzi mitandaoni. Najua baada ya serikali kupiga ban VPN sasa hivi wahuni watakuwa wamekuja na VPN ambazo ziko faya zaidi ila tatizo ni kwamba wengi wetu hatuzijui tu.
Basi kupitia uzi huu tupeane taarifa juu ya VPN's ambazo ziko on faya ili tuendelee kuburudika.
Kumbukeni kuwa baada ya serikali kupiga marufuku VPN baadhi ya members humu JF wamekuwa nadra sana kuonekana na wangine hawajaonekana kabisa kisa hawana bando mfano mzuri ni yule jamaa ambaye ID yake inafanana na hiki kitu kilichopigwa marufuku.
Naomba tujuzane VPN ambazo ziko active ili JF iwe na active members wengi.