Food Scientist
Senior Member
- Apr 29, 2017
- 102
- 183
Chukua Polo mk4 from 2005, ni cheki PM ukihitaji chochote.Wanajukwaa,
Ni VW polo ya mwaka gani haisumbui engine na gearbox?
Ipi ambayo spare zake nitapata kwa urahisi?
Mafundi wake wako wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nazikubali VW vivo,polo au VW golf R 7 au Golf 6 za kuanzia 2010 kuendelea ni gari za ukweli...
Mkuu hili Toleo la Zamani sana kila siku mtakua mnauliza mafundi humu ngoja nitume magari ya sasa hivi na kodi zake ni nafuu pia..Ukiipata hii Classic