Ni vyema Jeshi la Polisi likawa linatoa taarifa ya matukio yote ya kihalifu ili kujenga imani kwa jamii

Ni vyema Jeshi la Polisi likawa linatoa taarifa ya matukio yote ya kihalifu ili kujenga imani kwa jamii

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Jeshi la polisi Jukumu lenu ni Usalama wa Raia na Mali zao .
Na msiwe na bias kwenye hili

Msibagua watuu maana nyinyi ni wazazi bila kujali itikadi ,dini ,kabila ,ranging na vyote hivyo

Lkn hili swala la watu kutekwaa na kupata taarifa kwenye vyomba vya habarii hasa hasa Social media bila kupata tamko lenu/taarifa yenu kidogoo inawapaka matope ndugu zanguu.

Ili Jeshi letu liendeleee kuheshimikaa na kuaminikaa ni vyema kila tukio linanalotokeaa mlitolee taarifa na hata kama hamna taarifa kamili kwa wakati huu ni vyema mtoe taarifa kwa umma kwamba manalifatilia ili kuwapunguzi Imani kwa wanachii.

Mfano kuna tukio limetokea huko Dar la vijana wahuni kumuingila binti mmoja mmelitolea taarifa vyema

Ingawa yapo matukio ya utekaji yametokea siku mbili kabla hasa hawa Vijana wanaokosoa serikali ningependa /kushauri mngelitolea ufafanuzi pia wananchi wajue nini kinaendeleaa na kurudisha imani ya Jeshi letu la.Polisi.

Kwa kweli mnafanya kazi nzuri

Haya madogo yanawatia doa kutoka kwa hawa wanaharakati.

Maana kwa kusambaza wako vizr.

Ahsante
 
C Kwa police CCM ,ilaa angetokea aliyemtukana mama sasaa dkk yupo mahabusuuu
 
Back
Top Bottom