ni vyema kufuata yafuaatayo

Joined
Jan 13, 2012
Posts
5
Reaction score
0
wengi wameshaur ntupie sifa zangu binafsi.age angu 24 yrs,mchaga,busnesman, present location-Ta,home town-k'njaro-tarakea,ndoto yangu ni kupata girlfrend through social networks.nimeblock kutongoza kitaa coz njia hiyo imesha2miwa na babu na baba.vigezo(criterias)-age under 24yrs,busasa,hekima,utashi,upendo na heshima.msiingi woga. Contact 0782050530.cyprian shayo
 
Take your time
usitake faida leo leo

hapa wengine wanatania, na wachache waki siriaz kama wewe.
princess wako atakuja tu, taratibu lakini
kutegemeana na wewe unajichanganyaje hapa jukwaani.
Kongosho niambie
 
Kwa hiyo wakati anamsubiri princess charming wake, atupe habari za jamhuri ya rombo na upaliliaji wa kahawa?
 
ndio, ajichanganye MMU na mabinti watamwona.
Sasa yeye yuko hapa hapa afu anataka aonekane?

Kwa hiyo wakati anamsubiri princess charming wake, atupe habari za jamhuri ya rombo na upaliliaji wa kahawa?
 
Heheheehe. . . kama ndo anapalilia sasa hivi maana yake faida haiko karibuni. Najitoa kwenye mchakato maana spendi shida mie.

huwei kujitoa ukishainiga kwenye mchakato........................na kanibonyeza umo kwenye shortlist yake..........
 
dah kweli unatafuta. Na atafutaye hachoki!
Goodluck!

Na akıchoka amepata. Umenıkumbusha mısemo walıyokuwa wakıpenda kuweka ITV mıaka ya nyuma wakatı wa taarıfa ya habarı ya saa mbılı usıku.
 
Aisee hongera zenu nyie wa zama hizi za JK maisha yamerahisishwa sana
 
U olready hv their attention do smthng elze, sio kila cku watoa tuu minamba ya cmu, b creative,n romantic of coz..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…