Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msipotoshe watu....Hakuna chuo kinachukua Failures!
Qualifications za kujiunga na courses zinatofautiana;
sasa unaposema Dv 3 unamaana gani..........Anataka kusoma course gani chuo? cause DIV 3 ya PCM; PCB Muhimbili; UD; panakuhusu.....................................Eleza vizuri.
kwanza aliyekwambia mtu aliyepata division 3 amefeli ni nani? you are sick and pathetic bin pitiful!!!!
you are suffering from grandiosity , please see a nearest psychiatrist for further investigation!!
mtu aliyepata division 3 anaweza na anastahili kuingia university, kama ilivyo aliyepata divisheni 3 ya poit 25 anavyokuwa na haki ya kwenda form 5 so long as kwenye combination yake awe na walau c 3, hii inanikumbusha attitude ya wanafunzi wengi tuliopitia special scholls i.e mzumbe,kibaha na ilboru, huwa tunafikiri hakuna watu wengine kama sisi na hata tukifika chuo kikuu sisi ndo tutatoka the best students lakini hali haikuwa hivyo na wengi tu waliokuwa wamepata daraja la 2 chuoni kwetu walikuwa wanafanya vizuri wakatoka na hons wakati wenzetu tuliotoka nao special school wakiwa na division 1 walikuwa wanahangaika na supp kila semester
sisi wakati tunaingia university tuliambiwa wasomi tanzania tuliofika chuo kikuu by then tulikuwa 0.05% ya population yote, na sisi tulikuwa tukijiona ndio the brightest guys in the country lakini ukweli sio huo, wapo watu wengi waliopata divishen 3 na wakaweza kufanya vizuri sana university
ingelikuwa condition ziko strict then serikali isingeanzisha TCU na wala leo hii kusingekuwa na tumaini university, kcmc university, saut, st joseph college of engineering and the like.
ondoa ukungu uliokutawala machoni mwaka kaka, kupata wani a-level sio kutoka na first class chuo kikuu,
ndo mana nikatenganisha kati ya div and failures,kumbuka always kuna wakwanza,wakatikati na wa mwisho,..bro uko IFM/SAUT/MUCCOBS/ nnkwanza aliyekwambia mtu aliyepata division 3 amefeli ni nani? you are sick and pathetic bin pitiful!!!!
you are suffering from grandiosity , please see a nearest psychiatrist for further investigation!!
mtu aliyepata division 3 anaweza na anastahili kuingia university, kama ilivyo aliyepata divisheni 3 ya poit 25 anavyokuwa na haki ya kwenda form 5 so long as kwenye combination yake awe na walau c 3, hii inanikumbusha attitude ya wanafunzi wengi tuliopitia special scholls i.e mzumbe,kibaha na ilboru, huwa tunafikiri hakuna watu wengine kama sisi na hata tukifika chuo kikuu sisi ndo tutatoka the best students lakini hali haikuwa hivyo na wengi tu waliokuwa wamepata daraja la 2 chuoni kwetu walikuwa wanafanya vizuri wakatoka na hons wakati wenzetu tuliotoka nao special school wakiwa na division 1 walikuwa wanahangaika na supp kila semester
sisi wakati tunaingia university tuliambiwa wasomi tanzania tuliofika chuo kikuu by then tulikuwa 0.05% ya population yote, na sisi tulikuwa tukijiona ndio the brightest guys in the country lakini ukweli sio huo, wapo watu wengi waliopata divishen 3 na wakaweza kufanya vizuri sana university
ingelikuwa condition ziko strict then serikali isingeanzisha TCU na wala leo hii kusingekuwa na tumaini university, kcmc university, saut, st joseph college of engineering and the like.
ondoa ukungu uliokutawala machoni mwaka kaka, kupata wani a-level sio kutoka na first class chuo kikuu,
hapo umenena
ndo mana nikatenganisha kati ya div and failures,kumbuka always kuna wakwanza,wakatikati na wa mwisho,..bro uko IFM/SAUT/MUCCOBS/ nn
Lakini siku hizi TCU ndo wanacontrol enrolment. Ila tuwe wakweli kuwa UDSM Bado kinachukuwa cream! ingawa kuna wengine ni vipanga ila hawataki kwenda mlimani kwa sababu ya umangimeza wao! Tatizo langu sio admission. Tatizo langu ni results!!! Vyuo vya binafsi wengi huondoka na GPA ya 4.9 enegineering!! tena sio mmoja bali msululu!! hapo ndo kwenye shida!!!
Nawauliza wanaJF