Ni vyuo vikuu vipi tz vinakubali kujiunga navyo kwa muhitimu wa masomo ya out foundation course?

Ni vyuo vikuu vipi tz vinakubali kujiunga navyo kwa muhitimu wa masomo ya out foundation course?

spade4spade

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
2,207
Reaction score
2,156
Wana jf,
Naomba msaada mnifahamishe iwapo vipo vyuo vyetu vikuu hapa tz chini ya TCU tofauti na open university (OUT) vinavyoruhusu muhitimu wa masomo ya OFC kujiunga navyo. Mdogo wangu amehitimu masomo hayo baada ya kutofanya vizuri kidato cha 6 na ameomba nimtafutie chuo tofauti na open. Naomba majina ya vyuo hivyo na namna ya kujiunga navyo.
 
Mbona Open University ni pazuri tu? na kunaboresha siku baada ya siku. Hawa jamaa wamejipanga.
 
Nyie mnaosema aje Open,ni kuw tayari anajua kuwa open inawezekana,sasa anauliza upande mwingine kama hakuna basi jibu liwe hapana
 
Back
Top Bottom