M miri Member Joined Apr 26, 2012 Posts 34 Reaction score 1 Mar 27, 2014 #1 wanajamvi naomba nisaidiwe kujuzwa vyuo vya ualimu vya kujilipia tafadhali.Maana sjui hata nianzie wap kwa sababu sivijui..nisaidieni!!
wanajamvi naomba nisaidiwe kujuzwa vyuo vya ualimu vya kujilipia tafadhali.Maana sjui hata nianzie wap kwa sababu sivijui..nisaidieni!!
B biee JF-Expert Member Joined Apr 3, 2013 Posts 332 Reaction score 116 Mar 27, 2014 #2 Ualimu katika ngazi ipi??cheti au diploma au degree??