W wastani kwa idadi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2024 Posts 503 Reaction score 1,432 Jan 31, 2025 #1 Ni vita ya ndani kwa ndani, kuna Wabunge wanaende kupigwa hostile take over na wenzao Kuna Wabunge wanaende kukutana na ushindani mkali wa kubakiza nafasi zao za kugombea ubunge 2025.
Ni vita ya ndani kwa ndani, kuna Wabunge wanaende kupigwa hostile take over na wenzao Kuna Wabunge wanaende kukutana na ushindani mkali wa kubakiza nafasi zao za kugombea ubunge 2025.
W wastani kwa idadi JF-Expert Member Joined Jun 28, 2024 Posts 503 Reaction score 1,432 Jan 31, 2025 Thread starter #2 Mbunge wa Iringa Mjini presha inapanda presha inashuka