Ni wabunge wapi wapinzani walishinda? Je, ni upi msimamo wa CUF na ACT-Wazalendo juu ya ushiriki wa wabunge wao?

Ni wabunge wapi wapinzani walishinda? Je, ni upi msimamo wa CUF na ACT-Wazalendo juu ya ushiriki wa wabunge wao?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka.

Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
 
Mkuu hapo wala usisumbue akili yako juu ya ushiriki wa wabunge kutoka CUF na ACT.

Wao hao wanachojali ni ruzuku tu.
 
Back
Top Bottom