mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Nov 10, 2020 #1 Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka. Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
Naombeni kuwajua wabunge nane wa Upinzani na majimbo wanayotoka. Na je vyama vya ACT-Wazalendo na CUF wamechukua hatua gani au msimamo upi juu ya ushiriki wa wabunge wao katika Bunge?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,494 Reaction score 96,074 Nov 10, 2020 #2 Mkuu hapo wala usisumbue akili yako juu ya ushiriki wa wabunge kutoka CUF na ACT. Wao hao wanachojali ni ruzuku tu.
Mkuu hapo wala usisumbue akili yako juu ya ushiriki wa wabunge kutoka CUF na ACT. Wao hao wanachojali ni ruzuku tu.