LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Mimi nikiri tu meno yangu yalioza kipindi nikiwa na miaka 12 na no kwasababu nilitafuna sana pipi kidonge japo mpaka sasa natafunia pande zote na sijatoa jino hats moja japo niliendaga hospital doktar akanishauri tutoe magego mawili hivi maana yalionekana hayafai ila sasa imepita miaka 7 na bado natafunia tu japo yana msimu wa baridi yanaweza kuuma Mara tatu kwa mwaka
Sasa kama wewe una mtoto jitahidi kumsaidia kumtunzia meno yake akiwa bado mdogo has a mfanye asipenda kula vyakula vinavo haribu meno japo maji pia huchangia kuharibu meno
Ukipoteza jino ni sawa na mtu aliyepoteza kiungo kama tu mguu au mkono.