isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Habari đź‘‹
Kama swali linavyouliza "At what point in time did your hobby turn into a business?" au Ni wakati gani jambo ulipendalo liligeuka kuwa biashara?
Binafsi jambo/mambo niyapendayo kugeuka na kuwa biashara ni 2012 ilivyoanza kuonesha mwelekeo. Niseme rasmi 2015 mambo niyapendayo ndio yaligeuka na kuwa biashara kwangu.
Ningependa kupata ushuhuda na maoni yako katika masuala uyapendayo na mwaka yalivyogeuka biashara.
Sergio