isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,560
Wow!Nilikua napenda sana mashindano ya magari. Sahivi naendesha racing car. Nalipwa.
1. Nilianza penda tokea O-Level. Enzi izo Iringa Samora Stadium ndinga zinawashwa. Nikajuana na moja wa watoto wa vishua waliokua wanashiriki. Nikaanza kujua ABC. Kulipwa nimeanza 2019.Wow!
Q1 | Ni mwaka gani jambo hili ulipendalo liligeuka na kuwa biashara/kuanza kulipwa?
Q2 | Unaendesha katika mbio zipi au zinazoandaliwa wapi?
Ahaa! Mashindano haya katika viwanja yalikuwa yakiandaliwa hakika, sifahamu angali yapo au lah!1. Nilianza penda tokea O-Level. Enzi izo Iringa Samora Stadium ndinga zinawashwa. Nikajuana na moja wa watoto wa vishua waliokua wanashiriki. Nikaanza kujua ABC. Kulipwa nimeanza 2019.
2. Hapa siri. Maana napiga illegal racing za usiku (kubet) na legal za kawaida.