hapo hakuna kodi malizia hiyo registration then tra watakupiga kodi kupitia your lease agreement ndio watakukata asilimia kidogo
asante mkuu,lakini mfano kampuni ipo kama jina tu na haijaanza kuoperate,na mfano nimesajili mwaka huu lakini naenda kutafuta tin baada ya mwaka watanipiga fine ya kuchelewa kwenda kusaka tin?
Sent from my blackberry 8520 using jamiiforums