Ni wakati gani katika kesi nafasi ya mdhamini huisha?

MWINUKAOSCAR

Member
Joined
Jun 1, 2012
Posts
40
Reaction score
1
Ni muda gani nafasi ya mdhamini huishia? Baada ya hukumu au baada ya kumaliza kabisa malipo anayodaiwa mtuhumiwa?
 
OK...mana mtuhumiwa ametoroka. Na alihukumiwa kulipa so hajalipa na kutoroka...
 
Ni muda gani nafasi ya mdhamini huishia? Baada ya hukumu au baada ya kumaliza kabisa malipo anayodaiwa mtuhumiwa?
Ni pale ambapo -

Kesi imeisha

Mtuhumiwa katoroka na mdhamini kulipa fungu la dhamana au pale ambapo mdhamini anaomba kujitoa kwenye udhamini wa mtuhumiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…