Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Wakuu ni saidieni ni wakati gani mahusiano yanakuwa muhimu sana katika mahusiano?
Je ni wakati wakutongoza/kutafutana?
Je ni wakati mumeshakuwa wapenzi tayari?
Je ni wakati mumeshakuwa wanandoa ?
Je ni baada ya kubarikiwa kupata mtoto au watoto?
Je ni wakati wakutongoza/kutafutana?
Je ni wakati mumeshakuwa wapenzi tayari?
Je ni wakati mumeshakuwa wanandoa ?
Je ni baada ya kubarikiwa kupata mtoto au watoto?