ni wakati gani mawasiliano ni muhimu katika mahusiano/ndoa

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
Wakuu ni saidieni ni wakati gani mahusiano yanakuwa muhimu sana katika mahusiano?

Je ni wakati wakutongoza/kutafutana?

Je ni wakati mumeshakuwa wapenzi tayari?

Je ni wakati mumeshakuwa wanandoa ?

Je ni baada ya kubarikiwa kupata mtoto au watoto?
 
kwa upande wangu hivyo vipengele vyote ni vya muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…