jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,569
- 43,614
Tunangoja matamko yao.Kazi ipo hapo..
Nchi ilikua na watu wenye akili na heshima miaka ya nyuma sasa hivi uwezo wa watu hasa walio kwenye viti vya maamuzi umepungua sana ndio maana wanashindwa kutatua changamoto zinazowazunguka..Tunangoja matamko yao.
Au wawakate vichwa Wazungu wanampinga Samuya kisa dini yake.Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania.
Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama wa fanyavyo dhidi ya Matamko ya TEC.
Kwa kutoa matamko makali dhidi ya hawa mabeberu wanayoiandama Serikali.
Bila kusahau ile statement yao pendwa ya kuwakata v**chwa hao wahisani wasiyoipenda amani ya Tanzania na kuleta chokochoko.
Mungu ibariki Tanganyika.
Shuleless hao mashehe ubwabwa wataweza kweli kujibu? Huyo mkata vichwa elimu ya ngumbaru anaweza kujua hata umoja wa ulaya ni nini?Baada ya matamko ya nchi wahisahi kuhusiana na matukio ya liyotokea kabla na baada ya uchaguzi(feki) uliofanyika Tanzania.
Kama ilivyo ada mashehe wetu wasiwasite kutoka na kuitetea Serikali kama wa fanyavyo dhidi ya Matamko ya TEC.
Kwa kutoa matamko makali dhidi ya hawa mabeberu wanayoiandama Serikali.
Bila kusahau ile statement yao pendwa ya kuwakata v**chwa hao wahisani wasiyoipenda amani ya Tanzania na kuleta chokochoko.
Mungu ibariki Tanganyika.
Thubutu yao, wanabakia na hayo hayo matamko. Kule ukisema tu hiyo lugha, unaingia katika orodha ya magaidi wanaanza kukushughulikia mara moja.Tunangoja matamko yao.
Huu muongozo naamini wahusika wameuchukua
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Huu muongozo naamini wahusika wameuchukua