Pre GE2025 Ni wakati muafaka sasa CHADEMA kuungana na ACT Wazalendo!

Pre GE2025 Ni wakati muafaka sasa CHADEMA kuungana na ACT Wazalendo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Utakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%.

Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa sampling method (survey) ikihusisha sample 11,714 za wanachama wa vyama vyote na wengi zaidi ni wanachama wa kutoka CCM.

Utafiti huu ni wa kweli ingawa ni academic kwa ajili ya kukamilisha dissertation yangu Chuo maarufu na kinachoaminika zaidi na sana hapa nchini ambacho siwezi kukitaja.
 
Utakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%. Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa sampling method (survey) ikihusisha sample 11,714 za wanachama wa vyama vyote na wengi zaidi ni wanachama wa kutoka CCM. Utafiti huu ni wa kweli ingawa ni academic kwa ajili ya kukamilisha dissertation yangu Chuo maarufu na kinachoaminika zaidi na sana hapa nchini ambacho siwezi kukitaja.
Naunga mkono hoja, maza anaweza kuangushwa kama wataungana
 
Siungi mkono huo muungano. CHADEMA isimame peke yake kama Chama. ACT hawana wafuasi wengi.
 
Back
Top Bottom