Naunga mkono hoja, maza anaweza kuangushwa kama wataunganaUtakuwa ni muungano mzuri sana sana sana sana sana! Uchaguzi wa Mwakani hawatapungua ushindi wa kura 40% kwa nafasi ya Raisi na wabunge watafikia 43%. Ni utafiti ambao nimeufanya mwenyewe kwa sampling method (survey) ikihusisha sample 11,714 za wanachama wa vyama vyote na wengi zaidi ni wanachama wa kutoka CCM. Utafiti huu ni wa kweli ingawa ni academic kwa ajili ya kukamilisha dissertation yangu Chuo maarufu na kinachoaminika zaidi na sana hapa nchini ambacho siwezi kukitaja.
Alikuwepo Lipumba msaliti, CCM inatakiwa ipigwe nje ndaniNaunga mkono hoja, enzi za UKAWA, tulishauri Swali kwa Wana UKAWA: Is UKAWA for Real or Just A Marriage of Convenience?.-Ni Swali Tuu!.
P
Ikibidi waendee inbox uwashauri rasmi kabisa kabisa Kiongozi!Naunga mkono hoja, enzi za UKAWA, tulishauri Swali kwa Wana UKAWA: Is UKAWA for Real or Just A Marriage of Convenience?.-Ni Swali Tuu!
P
Act waungane na CUFNaunga mkono hoja, enzi za UKAWA, tulishauri Swali kwa Wana UKAWA: Is UKAWA for Real or Just A Marriage of Convenience?.-Ni Swali Tuu!
P