Ni wakati sasa FIFA ku-rank ubora wa timu za Taifa kwa makocha wazawa

Ni wakati sasa FIFA ku-rank ubora wa timu za Taifa kwa makocha wazawa

ozark

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2021
Posts
626
Reaction score
1,592
Wakuu,

Kila mwezi FIFA hutoa viwango vya ubora wa timu za taifa kutegemea na matokeo.

Matokeo hayo husababishwa na wachezaji raia wa nchi husika, lakini sio makocha.

Huenda ilikua ni wazo zuri la kuruhusu wachezaji kuchagua timu zao za taifa endapo mchezaji ana uraia wa zaidi ya timu moja.

Ila linapokuja suala la kupima ubora kwa kutegemea kocha wa nchi nyingine binafsi sioni kama linarepresent actual ubora. Huyo kocha atakuja na ubora/ubovu wa nchi nyingine,na hivyo sio kipimo halisi.

Nadhan umefika muda FIFA kulazimisha timu kuandaa na makocha wao wazawa kama wanavyoandaa wachezaji wao.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom