Heri ya Mwaka 2021!
Nimetafakari mengi juu ya mwelekeo kiafya katika bara la Africa na changamoto za tafiti pamoja utegemezi wetu kwenye tafiti na ufumbuzi wa matatizo ya Kiafya nje ya Africa.
Maradhi ndio chanzo cha mfumo tiba Africa. Wakati kwingineko Afya Bora ndio chanzo cha mifumo yao ya Kiafya.
Maradhi mapya ya kidunia (Global Pandemics) na hatari zake kwa baadhi ya jamii kutoweka. Zinatia msukumo mpya kwa AU kuliona jambo hili kipekee.
Kuna mengi ya kujifunza kwa wenzetu. Mfano, Makampuni ya madawa kwetu mengi kimsingi ni maduka ya kuuza dawa za nje. Na kinachoitwa Pharmaceutical Companies kinapaswa kuwa tu medicine sales points. Wenzetu wanatengeneza.
Vyuo vikuu vyetu vya tiba havina tofauti na secondary zetu kulikofundishwa Alternative to Chemestry, Alternative to Physics, Alternative to Biology. Yaani unakuwa na shule ya Sayansi za asili ambayo haina maabara. Sawa tu unakuwa na Chuo kikuu cha Tiba ambacho hakina hospitali.
Yaani tuna vyuo vinavyofanya zaidi Marketing Research badala ya Tafiti za kiasili za vyanzo vya maradhi.
Imetokea umelazwa hospital A, asbh wanapita wanafunzi katika makundi na zile nguo nyeupe wakijopiga na selfie. Wanakukuta kitandani wanaulizana Kama wako kwenye KI (Key Informant) interview. Halafu wanaenda zao. Na hutawaona tena.
Africa sasa tuwe na Hospitali- Vyuo Tiba. Kinyume na happy tutaangamia anagamio kuu.
NB kwenye Africa unaweza kuweka jina la nchi yoyote.
Kila la heri 2021