Ni Wakati sasa Tuwe na Road Toll

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
8,309
Reaction score
5,701
Kama mada inavyosema, ifike mahali tuwe na road Toll.Ikiwekwa Tsh elf30 kwa mwezi yaani Tsh 1000 kwa siku tutapata pesa nyingi. Hii iwe kwa kila gari na pikipiki iwe Tsh elf15 yaani Tsh 500 kwa siku. Lakini pia askari wa Polisi wawe ma kazi ya kusimamia sheria tu. Nina uhakika Tsh 30000 na 15000 zikikikusanywa kwa mwezi haitakua na ulazima wa Road Lisence.
Naomba kuwasilisha.
 
Road toll inakatwa katika kila lita ya mafuta unayonunua.
 
Mkuu upo taifa lipi, mbona umekurupuka kwani wewe hujuwi kama road toll inakatwa ama muhemko tu
 
UNAJUA BEI YA MAFUTA INA NINI NANINI??
 
Mkuu upo taifa lipi, mbona umekurupuka kwani wewe hujuwi kama road toll inakatwa ama muhemko tu
Inawezekana kwake ni neno jipya....
tulivinja hiyo kitu na kuingiza kwenye mafuta miaka mingi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…