SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,027
- 5,344
Naimani mpo poa.
Kiukweli uwanja huo haujawahi kupata shughuli kubwa kama hii ya 9 December. Kutokana na maandalizi ya gwaride lililofanyika hapa takribani wiki 2 hivi na mvua zilizokuwa zikinyesha hali ya uwanja sasa hasa kwenye pitch ni mbaya sana. Zimepigwa kwata, bado wale sungusungu takribani zaidi ya 1200 wote miguu yao ilikuwa inapitia pale. Uwanja kwa sasa unahali mbaya sana unahitaji rehabilitation ya nguvu.
Hata hivyo CCM Kirumba ni moja ya viwanja ambavyo vipo busy sana na kwasasa kimepata faida ya sherehe hii ya Uhuru kwakuwa kuna baadhi vitu vingi vimefanyiwa ukarabati kama vile vyoo, rooms, ofisi, jukwaa upande wa Simba na Yanga yameongezewa paa, sehemu za kukalia zimepakwa rangi nk tatizo lipo kwenye pitch.
CCM wekeni nyasi bandia uwanja hadhi iongezeke kwakuwa unawalipa sana la sivyo rudisheni viwanja serikalini ili vifanyiwe ukarabati.
Ahsanteni.