Ni wakati sasa viongozi wa dini/nyumba za ibada walipe kodi TRA

Ni wakati sasa viongozi wa dini/nyumba za ibada walipe kodi TRA

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habarini,

Anasa na ufahari umezidi kwa watu hawa kiasi kwamba wanajiona wao ni special hapa diniani kwa kuishi kwa nguvu na hela za watu.

Iweje wanaopeleka hela kanikani na miaokitini walipe kodi ila wanaopokea hizo hela wasilipe kodi?

Huo ni ujinga mkubwa na kama kuna hoja ya maandamano basi yawe juu ya hili na kodi zote za njia hii ni vyema zokaelekezwa mahospitalini kununua vifaa tiba,madawa na posho jwa watumishi i.e: mafaktari,wauguzi,nk
 
Dini ndo imezaa serikali kwaiyo mtoto hana uwezo wa kumtoza baba ushuru hata......

Sheria zote za serikali dunia walikopy kutoka kwa watu wenye akili kama Musa na wengine.......
 
Kwa hiyo koteee mnakokusanya kodi hamjatosheka sasa mnataka mpaka sadaka na mafungu ya kumi na huko mkusanye kodi? Ya kaisari mpeni kaisari ya Mungu mpeni Mungu.Sasa kaisari anaingilia mipaka ya Mungu itakua too much.

Tunakokwenda hata hewa mtatoza kodi maana mnaona watu hawana haki ama uhuru hata wa kuachwa nao wapumue kila kona mnataka kodi.Acheni upumbavu nyie.
 
Mimi Naomba Tu Kwenye mchango wangu wa vision 2050
1. Wakristo waruhusiwe kuoa mke Zaidi ya mmoja
2. Waislam turuhusiwe Kula mdudu
 
Back
Top Bottom