Ni wakati wa bwana Peter kuwadai fidia ya gharama za matunzo Muna na Castor.

Ni wakati wa bwana Peter kuwadai fidia ya gharama za matunzo Muna na Castor.

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
imeanza kufuatilia stori za hawa watu hasa kipindi kile cha msiba namna zilivyo trend kwenye mitandao ya kijamii.

Lakini leo nimeshtushwa baada ya kusikia yule mama wa marehemu ameitisha press conference na kuweka bayana kuwa yule marehemu hakuwa wa yule Peter ambae ndie alimzika.

Kwa kweli hata kama hawa watu wana ugomvi hakutakiwa kuanza kuita vyombo vya habari na kusema maneno hayo, yule mtoto ameisha fariki wamlindie heshima yake maana hana kosa.

Lakini pia ni wakati wa bwana Peter Zakaria kuwadai gharama zote alizomhudumia yule mtoto mpaka anafariki, haiwezekani abebeshwe majukumu ambayo siyo yake ilihali baba wa mtoto yupo, ilikuwaje yule mwanamke aendelee kuhitaji huduma ya mtoto toka kwa bwana Peter ilihali akijua mtoto sio wake, huu ni utapeli, bwana Peter adai gharama zake maana wamemwaga ugali basi amalizie Mboga.
 
Akiwashitaki atafukuzwa kwenye nyumba nasikia yeye alikuwa tungi mtu zake kazimwaga chooni.Sijui mchaga wa wapi mshamba mshamba
 
Castro hana kosa,amdai mkewe fidia,nayeye siku zote hakuchunguza tu,ukikaa na mwanamke lazima umchunguze bila ya yeye kujua,mambo ya kukolea kwa saaana kwa wife hayapo.wanawake wenyewe wanatuchunguza,halafu yeye alijiachia tu,
wanawake wabongo hawana mapenzi hata kidogo,mnasogeza siku tu,mapenzi kwa wadhungu au nduguzo.
Tchao!
 
Huyu jamaa katuaibisha sana wachagga
 
Back
Top Bottom