Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 623
Hii ni fursa rasmi kwa CCM na Serikali ya CCM chini ya Mheshimiwa John Pombe Magufuli kuwafutilia mbali viongozi wote waliotumia fedha za wawekezaji kujipatia madaraka.
Wapo baadhi ya viongozi tena wengi wao walijipatia fedha kutoka ugjaibuni na kujiunga na upinzani na walifanikiwa sana kuihenyesha CCM mwaka 2015.
Viongozi hawa bado watarudi kwa wafadhili wao na kuwahakikishia kuwa watatetea maslahi ya wafadhili kisa wamerudi CCM na kuaminiwa.
kupitia waraka huu mfupi, ni muhimu kwa CCM kuhakikisha inatuondolea hawa puppets ili inchi iendelee kuwa salama.