Ni wakati wa serikali kutengeneza ajira kwa wahimu wa vyuo.....ni rahisi sana

kimanganuni

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
324
Reaction score
170
Waliomaliza kilimo(sua),wpewe ardhi kwenye vikundi, kandokando ya mito mf moro! Waaanze kilimo cha umwagiliji,eg apple,tunanunua s,afrika,mpunga nk,wanachokosa vijana ni mitaji tu ,wapo walioitimu hydromrchanics etc,nini mOno uako ktk kufanikisha hili?
 
Waza kungine tofauti na icho
Kwann nasema hvo mwenendo wa RAISI wetu haitaji anything new from his pipo

Kama una kazi fanya kazi yako hao achana nao
Pambana tu na hali yako kaka
 
Problem is systemic risk ndo maana hata banks ngumu ku fund agri-value chain
 
wakati wakuwaapisha wakuu wa mikoa.. raisi aliwaagiza kama unavyosema akasema vijana wapewe maeneo walime ..siyo vijana wanakaa na kucheza pool.Mimi nakushauri tafuta wenzako nenda kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa omba eneo watakupa au wizarani. Kuna mfuko wa vijana kwenye kila wilaya ambao unachangiwa na halmashauri shiling milioni tano na wizara milioni tano. vijana walio kwenye vikundi wanatakiwa kuzikopa na kuzirudisha bila intrest.
 
Waza kungine tofauti na icho
Kwann nasema hvo mwenendo wa RAISI wetu haitaji anything new from his pipo

Kama una kazi fanya kazi yako hao achana nao
Pambana tu na hali yako kaka
Aisee we nenda kajifie mbali . Kila kitu siasa
 
Urasimu ndio shida
 
Waza kungine tofauti na icho
Kwann nasema hvo mwenendo wa RAISI wetu haitaji anything new from his pipo

Kama una kazi fanya kazi yako hao achana nao
Pambana tu na hali yako kaka
Hili neno pambana na hali yako nazani ndo mwisho wa watu kuwaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…